Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki vile hauwezi amini halafu,, wewe inaonekana hiyo ni starehe yako ya kwanza kwenye list yako ila mie nikipanga list yangu hiyo hata kwenye top ten haipo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo huo wa mchana kweupe... Ukute wewe ni zaidi yangu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app