Happy Birthday Shunie......!!!!

Happy Birthday Shunie......!!!!

Namshukuru Mungu kwa kweli, tarehe kama ya leo miaka arobaini iliyopita, alizaliwa kipenzi, rafiki, dada, mdogo wangu mzuri mzuri jamani na ndugu yangu kipenzi Shunie!!

Mungu azidi kukuinua zaidi, akupe kila unalohitaji mpenzi, najua kuna kipindi unapitia mengi sana na unataka kukata tamaa lakini naomba ujue nipo na wewe kwenye kila hatua! Nakuombea sana dada kipenzi, natamani kila siku iitwapo leo uwe na amani! Ndo maana nahakikisha kila siku iitwapo leo nakuombea mimi jamani!!

Shunie, mimi nakupenda sana! Siku yako ya leo naweza nisiwe na zawadi ya kuufurahisha moyo wako, ila jua zawadi kubwa kwako ni MAOMBI yangu kwako! Umejitolea kunipenda toka tukiwa vivuli mpaka sasa tupo pamoja!

Naweza nikawa nimekukosea sana mimi jamani, venye niko kivurugee naomba unisamehe mimi! Friends like you so genuine and true are rare to find, you are so genuine and true!

I hope your Birthday brings in more wisdom, street smartnes, luck and determination for you in the coming year!!!

Happy birthday My lovely friend Shunie!!!
Jamani Sakayo keki wapiiiiiiiii
 
Happy birthday Mhenga mwenzangu Shunie,
 
Asante Sakayo wangu nakupenda [emoji8][emoji8]na unalijua hili nasoma uku machozi yananitoka, Asante Mungu wangu kwa kuniletea we mtu endelea tu kuniombea ninayopitia Mungu wetu afanye wepesi wake peke yangu siwezi mimi bila yeye.

Nimefika kwenye miaka 40 iliyopita nimecheka sana ila ujue uzee umenikaribia kesho kutwa tu nitaitwa bibii shunie [emoji16] mbona miaka 40 iliyopita chizi wangu bwana.
 
Back
Top Bottom