Happy Birthday Shunie......!!!!

Happy Birthday Shunie......!!!!

Asante Sakayo wangu nakupenda [emoji8][emoji8]na unalijua hili nasoma uku machozi yananitoka, Asante Mungu wangu kwa kuniletea we mtu endelea tu kuniombea ninayopitia Mungu wetu afanye wepesi wake peke yangu siwezi mimi bila yeye.

Nimefika kwenye miaka 40 iliyopita nimecheka sana ila ujue uzee umenikaribia kesho kutwa tu nitaitwa bibii shunie [emoji16] mbona miaka 40 iliyopita chizi wangu bwana.
Nakupenda zaidi jamani dear!!
Mungu wetu sio kiziwi ashindwe kutujibu! Ni vile tuu hawahi wala hachelewi! Tuzidi kumtumainia dear!!

Miaka arobaini ndiwooo!
 
Asante Sakayo wangu nakupenda [emoji8][emoji8]na unalijua hili nasoma uku machozi yananitoka, Asante Mungu wangu kwa kuniletea we mtu endelea tu kuniombea ninayopitia Mungu wetu afanye wepesi wake peke yangu siwezi mimi bila yeye.

Nimefika kwenye miaka 40 iliyopita nimecheka sana ila ujue uzee umenikaribia kesho kutwa tu nitaitwa bibii shunie [emoji16] mbona miaka 40 iliyopita chizi wangu bwana.
Happy Born Day rafiki

Yo shall overcome

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom