Happy Birthday Shunie......!!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki vile hauwezi amini halafu,, wewe inaonekana hiyo ni starehe yako ya kwanza kwenye list yako ila mie nikipanga list yangu hiyo hata kwenye top ten haipo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka top ten yako na mimi nitaweka top ten yangu. Tunaendelea kumuaibisha shetani [emoji39][emoji39]
 
Yule anko sio kabisaa! Akiishiwa ndo huwa anakuja kwako!!

Msimu huu wa siku kuu sijamtia machoni wala masikionii...

Ako wangu wa ukweli ni kaka Eli79 tuu
Huyu alinitelekeza, sikuku ilivyoisha ndio akarudi. Yule anko wako sasa ndio wa ukweli, shida zangu za kiroho,kimwili na kiuchumi alikuwa anamaliza zooote. Huyu mpare maneno tuuuu[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…