Happy Birthday Shunie......!!!!

Jamani Sakayo keki wapiiiiiiiii
 
Happy birthday Mhenga mwenzangu Shunie,
 
Asante Sakayo wangu nakupenda [emoji8][emoji8]na unalijua hili nasoma uku machozi yananitoka, Asante Mungu wangu kwa kuniletea we mtu endelea tu kuniombea ninayopitia Mungu wetu afanye wepesi wake peke yangu siwezi mimi bila yeye.

Nimefika kwenye miaka 40 iliyopita nimecheka sana ila ujue uzee umenikaribia kesho kutwa tu nitaitwa bibii shunie [emoji16] mbona miaka 40 iliyopita chizi wangu bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…