Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mbona unataka nikunong'oneze chenye nimeshapayuka?? Umri wangu nimeshautaja kwenye ile comment!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yangu imetangulia pm mpendwaTumeni tu miamala, ni siku yoyote tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo tucheze kwaito
Baby la msingi hapa ni besidei na miamala. Hayo mengine yasubiri kwanza.Hivi unazo ngapi? Mbona hii ni mara ya pili mwaka huu.
Uweke miaka yako kule kwenye selfie
Muamala pm[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Yangu imetangulia pm mpendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapenda kushindana na mimi! Nimekufundisha kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jael
Mimi nafurahi tu unavyoanza "kuni-address". Japo unaongeza msisitizo wakati wa miamala.Baby la msingi hapa ni besidei na miamala. Hayo mengine yasubiri kwanza.
Hahhhah auntie kanishinda mieMpendwa yako ni leo au kesho au inategemea na muamala utasoma vipi[emoji1][emoji1][emoji1]
Pm au kwa wakala?!Punguzeni speed ya huu uzi sasa ili nipate nafasi ya kuenda pm,, nisije nikarudi nikakuta comments buku kidogo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ndio ishatokea hiyo siku nyingine usirudie tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndiyo nimeshaharibu sasa,, maana JF watu wanaambizana ukimuambia mmoja tu ni sawa umeambia kikosi kizima.. watu si wanatumana humu umesahau??
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya tunapunguzaPunguzeni speed ya huu uzi sasa ili nipate nafasi ya kuenda pm,, nisije nikarudi nikakuta comments buku kidogo..
Sent using Jamii Forums mobile app