Happy birthday Smart911

Kuna mambo yanafurahisha sana...
Unani block mwenyewe, alafu unaniuliza, mbona upo online unafanya nini...

Hahahaha Dah!! Mbona hujibu, unachat na wanawake zake...
Ukiona Smart911 typing.... Unanipa block...

Sijakaa sawa unani unblock unanipigia video call, nikipokea unanipa block... Hahahaha
Sijakaa sawa unanishushia gazeti... Kunitakia nife na nikifa nioze kabla hata ya kuoshwa...
 
True love comes with jealous in it love yani nikikumbuka Nacheka mpaka nataka kujikojolea walaiii🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀭!


Tunachambanaaaa weeeeee badae tunaanza kubebishanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Love you mingi mingi love
Happiest birthday to youuuuuu EnjoyπŸŽ‚πŸŽ‚πŸΎπŸΎπŸ’πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸŒΉπŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹!
 

Attachments

  • Screenshot_20240715-132652~2.jpg
    44.7 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…