Mimi natumia maji juice fresh na mtindimi nakunywa choda tu kama wewe...π€£
π kwa hili nakuacha nalo mwenyewe maana moderator wataingilia..Nakaaje kwenye line wakati umiliki mtandao wowote wa simu zaidi ya smart kitochi
Hayo ni madhara ya kuto omba..Umevamia kambi ya watu au sio? Unajifanya huoni?
Lazima waingilie sababu wanaona jinsi unavyopenda kunifatafata kila ninapoendaπ kwa hili nakuacha nalo mwenyewe maana moderator wataingilia..
Hizi notes nitazitumia kwa mwingine sio huyuHuyo sasa ndio anakufaaa na mtaelewana vizuri!
Mwanzo mgumu komaa (Legend Nakupa past papers mdogo mdogo umeze kama zilivyoππ)
haya sawa bibie umeshinda yaishe...πLazima waingilie sababu wanaona jinsi unavyopenda kunifatafata kila ninapoenda
Hili ndilo ulilosahauhaya sawa bibie umeshinda yaishe...π
Una uhakika anapendwa?Kuna watu wanajua kupendana
kweli kushindana maneno na mwanamke ni shughuli pevu mpaka kichwa kinauma hapa unanishambulia huku na kwa nyamwi...π€£Hili ndilo ulilosahau
SijakuulizaUna uhakika anapendwa?
unayatafuta ndugu...πUna uhakika anapendwa?
Siku ile ulinishambulia weweπkweli kushindana maneno na mwanamke ni shughuli pevu mpaka kichwa kinauma hapa unanishambulia huku na kwa nyamwi...π€£
Inapendeza..Forever and alwayssssssssπππππππ!
Wa kututendanisha sie ni Allah tu!
So much have happened and here we go ππΊ!
Barikiwa sana
Smart ukiacha ujinga wa hizo comments za kiwaki na ukatoa maoni kamili unaweza kiwa nyuki na sio nzi. Jirekebishe bro. Kama unaogopa bora uka mute tu asee maana kuna muda huwa unaharibu kwa kusema "ngoja waje wakupe muongozo" "mambo yao waachie wenyewe".
Huo ni ukuda. Kama huna positive contribution kula gunzi arif.
Heri ya siku ya kuzaliwa bro.