Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Haya logout ulogin kama smart911 ujipongeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ina wachawi wengi sana hii 🤣Mtaachana tu
Anakutania tu!Gundu la mapenzi Hahaha mbona gunduuuuu🤣🤣🤣🤣😂😂!
Natamani nicheke kwanguvu😄🤭!
Uzuri Mungu sio ndugu yake sie waleeeeeeeeeeeeeee😁😁😁😁!
Huko mafichoni hapajatulia..pakitulia nitakuja...Hayo tutajadili, tukiwa mafichoni huku moderators wakiwa wametolea macho chat zetu
View attachment 3043067
Unasubiri nini kupeleka posa brother!? Baadae usijesema hatujakushauri halafu ujue tunakuonea wivu oohKuna mambo yanafurahisha sana...
Unani block mwenyewe, alafu unaniuliza, mbona upo online unafanya nini...
Hahahaha Dah!! Mbona hujibu, unachat na wanawake zake...
Ukiona Smart911 typing.... Unanipa block...
Sijakaa sawa unani unblock unanipigia video call, nikipokea unanipa block... Hahahaha
Sijakaa sawa unanishushia gazeti... Kunitakia nife na nikifa nioze kabla hata ya kuoshwa...
Woow. Tafuta sehemu kabisa tulivu maana nitakua na mengi yakukuambia Bro. Nashukuru sanaNingetamani kujua kitu zaidi, so naomba niruhusu nikutafute kwa muda tulivu, natumai halitakuwa gumu hili kwako.
Ready and waiting......Huko mafichoni hapajatulia..pakitulia nitakuja...
Nashukuru kwa uelewa wako na kukubali ombi langu. Hili nalifanyia kazi haraka iwezekanavyo.Woow. Tafuta sehemu kabisa tulivu maana nitakua na mengi yakukuambia Bro. Nashukuru sana
Sasa ajira hakuna mkuu, na tukikaa bila kaz mnatuita jobless..bora tuwange tuNchi ina wachawi wengi sana hii 🤣
Mkuu wangia mafisadi wafe haraka, ila hawa wanao enjoy love zao usiwaguse tafadhali itakuwa ni matumizi mabaya ya taaluma yako 🤣🤣.Sasa ajira hakuna mkuu, na tukikaa bila kaz mnatuita jobless..bora tuwange tu