sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,213
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana jamani,,hata maneno ya kusema yameniishia!Asante Bantu lady!Nimezaliwa na kilo 5 unajua,sasa pempasi haitoshi,leta basi kitenge unifunge dia!
Namshukuru Mungu kwa baraka zake miaka yote hii na nazidi kumuomba azidi kunilinda,kuniongoza na kunijalia baraka zake!
Wapendwa wana JF ninapoadhimisha siku ya kuzaliwa napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu na ushirikiano mkubwa mnaonipatia.Sitaweza kuwataja wote maana natumia mchina,lakini shukrani za pekee ziwaendee wana JF wote hasa Bantu lady, miss chagga, sister, mwallu, kiwatengu, shansarie, Munkari, Mokoyo, Kaizer, watu8, Madame B, Lady doctor, Arushaone, Asprin, ladyfurahia, Passion Lady, zinc, farkhina, Judgement,, Washawasha,, Tangopori aka weka picha,, Inspector Lady, Baba V, Erickb52, Vallentina, Chocs, DEMBA, Zinduna, utafiti, Heaven on Earth, Mamdenyi
Jamani ambao sijawataja mnisamehe,nawakumbuka wote,asanteni sana JF

[amoja sana mkuu sungura1980 nakutakia siku njema ya kuzaliwa, Bantu lady hakikisha unampet pet mtoto vizuri leo
Rich Woman naweza kusema nimekumiss kama utakuja kwenye hii party ya sungura1980 tuteteMany happy returns of the day sungura1980.
Rich Woman naweza kusema nimekumiss kama utakuja kwenye hii party ya sungura1980 tutete
Rich Woman naweza kusema nimekumiss kama utakuja kwenye hii party ya sungura1980 tutete
Happy birthday halafu naomba nije nile keki
Kaizer part ni wapi ili nikuje tutete best maana kweli siku kadhaa zimepita...
Halafu nimekumbuka makange hope hujasahau
Bamdogo Kaizer mnataka kuteta nini?Yalee masuala ya kazi eheee?Vinginevyo nitamwambia mama!
Happy birthday sungura1980...Mungu akusaidie utimize malengo yako..