Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
- Thread starter
-
- #81
Ah ah ahNgoja nianze harakati mdogo mdogo.
Ila usitoboe siri kwa mbebezi wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ah ah ah ah naona unapalilia shamba.....Happy born day Super Woman (naomba usiwe ndo yule Kiria).
Ni muda sasa wa kuachana na vibenten, uje tusaidiane kupunguza haka kapensheni kangu kalikobakia[emoji39]
Hata mim nimejikuta na shangaaMjumbe....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hii hoja mbona ni kavu sana, ebu ilainishe basi
@amuHbday dear.. live long with happiness ofcourse
Ah ah ah ah ah kwendraaaaaAliyeanzisha uzi ana gundu
Na mim nataka silver yangu......Happy birthday dada bado nakudai elf 5 yanguuView attachment 835217
oouh.. noted.Hbday dear.. live long with happiness ofcourse
Ah ah ah ah
AseeUliendika uzi sio utoe maneno matupu tu hakikisha mtoto anafurahi leo kwa pesa na zawadi nyingi na kito**mb juu
Heri ya siku ya kuzaliwa amu
hapo kwa pesa na zawadi nakuunga mkono hiko kingine sijaonaUliendika uzi sio utoe maneno matupu tu hakikisha mtoto anafurahi leo kwa pesa na zawadi nyingi na kito**mb juu
Ahsante sana TaterHappy birthday amu..
Ahsante sana Hajar hakika mimi na wewe ndo tunamuhusudu sana kritika na ahsante pia kwa kuniita ameitikia wito
Oooo ahsante sana kwa kweli ngoja nije kwa mzee mwenzangu tule pensheni vibenten vinataka kunivunja kiunoHappy born day Super Woman (naomba usiwe ndo yule Kiria).
Ni muda sasa wa kuachana na vibenten, uje tusaidiane kupunguza haka kapensheni kangu kalikobakia[emoji39]
Ahsante Mwanyasi bonge anakusalimu piaHappy birthday amu dadake bonge
Ahsante Mr Miller wanguhappy birthday amu
Ahsante dark angelHeri ya kuzaliwa amu
Asa dogo huyu mbuzi nimchome au?Ahsante sana dogo buku 5 iko njiani DemissHappy birthday dada bado nakudai elf 5 yanguuView attachment 835217
Ahsante ShunieHappy birthday amu God bless u
Aaaaa mbea mwenye TBS ahsante sana witnessjHappy Bday my shostito amu
Ahsante sana hazard cfcSina la kusema yote walimwengu washayamaliza juu huko
Happy bday
Ahsante sana mpwnzi nasubiria mkeka wa leoHappy birthday kwake amu
Ahsante sana jamaa yangu Sesten ZakazakaIwe heri, fanaka na baraka tele kwa tele katika siku yako hii ya kuzaliwa amu, Mungu Akupe mara nne zaidi ya umri uliokua nao sasa ukiwa katika furaha na afya njema ya mwilili na akili
ahsante sana mopenwaHbday dear.. live long with happiness ofcourse
Mhhh shoga hapana ada million 3 chekechea asante sana Miss Natafuta kuna dinner pale Serena Garden karibu sana mpenziHappy birthday dear amu.ubarikiwe sana ukawe mama wa maelfu elfu
aaa asante sana man himself
Heri ya siku ya kuzaliwa amu
Uliendika uzi sio utoe maneno matupu tu hakikisha mtoto anafurahi leo kwa pesa na zawadi nyingi na kito**mb juu