Happy Birthday Super Woman amu

Happy Birthday Super Woman amu

My mom

My Everything

My woman

Am speechless

HAPPY BIRTHDAY Mwanamke uliyenifanya niwe hapa nilipo...

Nakupenda sana mama angu!!

Wow...Kiukweli I don't have full words of explaining how the world chear up, ulivyokuja ulimwenguni. Congratulations the Most Beautiful Woman!!.

Yaaah we are happy for u! Hongera sana kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa amu......

Umebarikiwa na Mungu, umepewa uzuri wa kipekee!

Nikuambie tu, we ni aina ya mwanamke ambaye kila mwanaume anapenda ...

Hongera sana mwaaaaah

Mungu akuongezee miaka mingi zaidi ya mafanikio na furaha..

Mwenyezi Mungu aliyejaa neema akuzidishie baraka zake kimwili, kifedha, na kiroho.

Happy birthday amu love you babysister amu
Ayaaaaa umeanza vizuri mwanzoni ila mwishoni tu ukapoteza tabasamu langu!ila sio mbaya happy birthday day amu,nakupenda eeh
 
11027443_974309102611831_7829499519167065934_n.jpg
Mwanaume jamani wewe ahsante mno mkwe wangu,kibenten changu zawadi yako hiyo hapo juu.
Kibenten chako kinalamba koni?

Nlifikiri kinapiga deki...

Happy birthday sweetheart....
 
Back
Top Bottom