Happy Birthday Super Woman amu

Happy Birthday Super Woman amu

Happy birthday amu..
Ahsante sana Tater
Kwa sifa hizi ngoja niandae safari ya kuja kukusabahi kwa Majaliwa.

Happy birthday amu.
Uwe na siku njema ya kuzaliwa mwaya.

kritika hebu njoo huku umletee amu Keki sababu mie na yeye huwa tunakuhusudu.

😂😂😂😂😂
Ahsante sana Hajar hakika mimi na wewe ndo tunamuhusudu sana kritika na ahsante pia kwa kuniita ameitikia wito
Happy born day Super Woman (naomba usiwe ndo yule Kiria).
Ni muda sasa wa kuachana na vibenten, uje tusaidiane kupunguza haka kapensheni kangu kalikobakia[emoji39]
Oooo ahsante sana kwa kweli ngoja nije kwa mzee mwenzangu tule pensheni vibenten vinataka kunivunja kiuno
Happy birthday amu dadake bonge
Ahsante Mwanyasi bonge anakusalimu pia

happy birthday amu
Ahsante Mr Miller wangu
Heri ya kuzaliwa amu
Ahsante dark angel
Happy birthday dada bado nakudai elf 5 yanguuView attachment 835217
Asa dogo huyu mbuzi nimchome au?Ahsante sana dogo buku 5 iko njiani Demiss
Happy birthday amu God bless u
Ahsante Shunie
Happy Bday my shostito amu
Aaaaa mbea mwenye TBS ahsante sana witnessj
Sina la kusema yote walimwengu washayamaliza juu huko

Happy bday
Ahsante sana hazard cfc
Happy birthday kwake amu
Ahsante sana mpwnzi nasubiria mkeka wa leo
Iwe heri, fanaka na baraka tele kwa tele katika siku yako hii ya kuzaliwa amu, Mungu Akupe mara nne zaidi ya umri uliokua nao sasa ukiwa katika furaha na afya njema ya mwilili na akili
Ahsante sana jamaa yangu Sesten Zakazaka
Hbday dear.. live long with happiness ofcourse
ahsante sana mopenwa
Happy birthday dear amu.ubarikiwe sana ukawe mama wa maelfu elfu
Mhhh shoga hapana ada million 3 chekechea asante sana Miss Natafuta kuna dinner pale Serena Garden karibu sana mpenzi
Happy birthday amu

Tumezaliwa mwezi mmoja sema nimekupita kwa siku 3 tu
aaa asante sana man himself
Heri ya siku ya kuzaliwa amu
Uliendika uzi sio utoe maneno matupu tu hakikisha mtoto anafurahi leo kwa pesa na zawadi nyingi na kito**mb juu
 
Back
Top Bottom