Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mim mwenye nimebaki mdomo wazAsee
Ah ah ah ah et katika pesa unaunga mkono ila ivyo vingine hausapot acha uchoyo ww mamaAhsante sana kritika wangu
hapo kwa pesa na zawadi nakuunga mkono hiko kingine sijaona
Dinner serena Miss Natafuta atakuja?Ahsante sana Tater
Ahsante sana Hajar hakika mimi na wewe ndo tunamuhusudu sana kritika na ahsante pia kwa kuniita ameitikia wito
Oooo ahsante sana kwa kweli ngoja nije kwa mzee mwenzangu tule pensheni vibenten vinataka kunivunja kiuno
Ahsante Mwanyasi bonge anakusalimu pia
Ahsante Mr Miller wangu
Ahsante dark angel
Asa dogo huyu mbuzi nimchome au?Ahsante sana dogo buku 5 iko njiani Demiss
Ahsante Shunie
Aaaaa mbea mwenye TBS ahsante sana witnessj
Ahsante sana hazard cfc
Ahsante sana mpwnzi nasubiria mkeka wa leo
Ahsante sana jamaa yangu Sesten Zakazaka
ahsante sana mopenwa
Mhhh shoga hapana ada million 3 chekechea asante sana Miss Natafuta kuna dinner pale Serena Garden karibu sana mpenzi
aaa asante sana man himself
atakua yuko dinner na Mr@amu ukuje huku
Mr gan tena uyo zaid yangu?atakua yuko dinner na Mr
Hahaha, samahani Mkuu sikua najuaMr gan tena uyo zaid yangu?
Wew ulikuwa unamjua nan kwan? Ebu kuwa huru kusema yaliyopo nyumaa ya paziaHahaha, samahani Mkuu sikua najua
@hazardcfcWoyoooo
Hahaha nilikua nachangamsha vidole mkuuAh ah ah ah naona unapalilia shamba.....
Mke anauma jaman acha tuuuHahaha nilikua nachangamsha vidole mkuu
Mi huwa nashinda church kumuombea mema tuuuuHappy birthday @amu,nitakuwa mchoyo kama sitakupa my sincere birthday wishes,Mola akujaalie uishi miaka mingi mpaka uwe kikongweeeee
Sijui chochote Mkuu ,kuwa na AmanWew ulikuwa unamjua nan kwan? Ebu kuwa huru kusema yaliyopo nyumaa ya pazia