Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
- Thread starter
- #121
Ah ah ah ahSijui chochote Mkuu ,kuwa na Aman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah ah ah ahSijui chochote Mkuu ,kuwa na Aman
Kazaliwa mwez gan ebu nikonyezee ndugu yangu yawezekana ukawa unamjua kuliko mim.....Amu huyu huyu kazaliwa mwezi huu wa nane??
Anyway happy birthday Amu mzuri
Nilikua sijui mwezi alozaliwa so nmelijua iloKazaliwa mwez gan ebu nikonyezee ndugu yangu yawezekana ukawa unamjua kuliko mim.....
Shida na mshangao nimepata baada ww kuuliza kanakwamba unamjua sana Bi amuNilikua sijui mwezi alozaliwa so nmelijua ilo
Aaaahhh hapana nmejua tu leo. Kazaliwa mwezi mzuri .ndomaana nmeshangaaShida na mshangao nimepata baada ww kuuliza kanakwamba unamjua sana Bi amu
Nimekuelewa
HahahaShida na mshangao nimepata baada ww kuuliza kanakwamba unamjua sana Bi amu
Nimekuelewa
Mwez wamezaliwa watoto wazur kama wakina amuAaaahhh hapana nmejua tu leo. Kazaliwa mwezi mzuri .ndomaana nmeshangaa
Ndugu yangu vpHahaha
@Kiranga nakuheshim sana hili bandiko lako halija jitoshelezaHappy birthday beautiful.
Ndio maana nmeshangaaa !! Mwezi mzuri sana huuuMwez wamezaliwa watoto wazur kama wakina amu
Nw kuna sehem yupo anadeka tuuu
Unamzungumziaje amu?Ndio maana nmeshangaaa !! Mwezi mzuri sana huuu
Ayaaaaa umeanza vizuri mwanzoni ila mwishoni tu ukapoteza tabasamu langu!ila sio mbaya happy birthday day amu,nakupenda eehMy mom
My Everything
My woman
Am speechless
HAPPY BIRTHDAY Mwanamke uliyenifanya niwe hapa nilipo...
Nakupenda sana mama angu!!
Wow...Kiukweli I don't have full words of explaining how the world chear up, ulivyokuja ulimwenguni. Congratulations the Most Beautiful Woman!!.
Yaaah we are happy for u! Hongera sana kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa amu......
Umebarikiwa na Mungu, umepewa uzuri wa kipekee!
Nikuambie tu, we ni aina ya mwanamke ambaye kila mwanaume anapenda ...
Hongera sana mwaaaaah
Mungu akuongezee miaka mingi zaidi ya mafanikio na furaha..
Mwenyezi Mungu aliyejaa neema akuzidishie baraka zake kimwili, kifedha, na kiroho.
Happy birthday amu love you babysister amu
Kivp tena jaman ?Ayaaaaa umeanza vizuri mwanzoni ila mwishoni tu ukapoteza tabasamu langu!ila sio mbaya happy birthday day amu,nakupenda eeh
Amu ? Mwanamke mzuri na anaonekama nimzuri nje na ndani ya moyo wake.Unamzungumziaje amu?
Kibenten chako kinalamba koni?Mwanaume jamani wewe ahsante mno mkwe wangu,kibenten changu zawadi yako hiyo hapo juu.![]()
Wew mzee acha uchokoz bhanaKibenten chako kinalamba koni?
Nlifikiri kinapiga deki...
Happy birthday sweetheart....
Ah ah ah ah ah ngoja ajeHappy birthday [emoji512], nakuletea mbute