Happy Birthday Super Woman amu

Happy Birthday Super Woman amu

Hahaha ushachelewa. Tushaelewana inbobo
Ah ah ah ah ah mzee mim nfitina kuliko hata chama cha mapinduz trust mim

Ngoja badae nna miyad na uyo mama ya kuonana pale kwa sele bonge kino utaona atakavyo kubadilikia
 
Hakuna linaloshindikana dunian

Napenda kusikiliza maon ya wadau wangu na kufanyia kazi

Nakuhaid nitalifanyia kaz soon as posible tutakula ndafu ..

Stay tune
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wouzeeeeerrrr umenifurahisha sana
 
Back
Top Bottom