Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi yule mchumba wangu tuliokuwa tuna kupiga nae exile yupo wapi?unajua kuna watu moments nilizokua nao siwezi kuzsahu, mmoja wao ni wewe aseee..hadi nabaki nacheka zile exile tulizokua tunapigishana. Btw ahsante
Haahaa wengine si tuko fungu la kukosa nilikua najipa matumaini labda nitapata nafasi ila wapiii Ice kakaza..jamaa sijui wapi siku hizi kabisaHivi yule mchumba wangu tuliokuwa tuna kupiga nae exile yupo wapi?
Ni kitambo daah, ulikuwa unatia huruma unaishia kuchungulia tuu.
I don't think tunajuana, piaseem like that though i don't have clue with that
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ile kipindi ilikuwa raha sana.Haahaa wengine si tuko fungu la kukosa nilikua najipa matumaini labda nitapata nafasi ila wapiii Ice kakaza..jamaa sijui wapi siku hizi kabisa
YeahMybe. it's weird though....
😵😵😵😵😵 Ndo ivo wadau hawapo tena hata mm hua sifiki kule tena[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ile kipindi ilikuwa raha sana.
Siku hizi nimesahau kutembelea lile jukwaa kabisa.
Sawa my Johnny nitakusikilizisha sauti yangu.Utakua wa kwanza kunipatia zawadi Yemie
Saa moja moja hivi.Niambie muda ganii
Kumbe ndio mondray!! Alikuwaga kimeooo[emoji85][emoji85]Teh
Mondray alkua ana matus huyu mtu ni balaa
Haki nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23]unataka uandae kabisa??haya mamii nasubiri niambie utatumia voda au airtel