Happy birthday to Da'vinci

Happy birthday to Da'vinci

unajua kuna watu moments nilizokua nao siwezi kuzsahu, mmoja wao ni wewe aseee..hadi nabaki nacheka zile exile tulizokua tunapigishana. Btw ahsante
Hivi yule mchumba wangu tuliokuwa tuna kupiga nae exile yupo wapi?
Ni kitambo daah, ulikuwa unatia huruma unaishia kuchungulia tuu.
 
Haahaa wengine si tuko fungu la kukosa nilikua najipa matumaini labda nitapata nafasi ila wapiii Ice kakaza..jamaa sijui wapi siku hizi kabisa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ile kipindi ilikuwa raha sana.
Siku hizi nimesahau kutembelea lile jukwaa kabisa.
 
😵😵😵😵😵 Ndo ivo wadau hawapo tena hata mm hua sifiki kule tena
 
happy borndate The brain. Tunataraji makubwa zaidi kutoka kwako, more years mkuu
 
Back
Top Bottom