We utanimalizia, subiri tukishakula nitakuletea kipande. Sawa mtoto mzuri!!ukiitwa kula cake usinisahau jaman
hahah shangazi jaman kwahiyo me mroho sio vizuri ujue kwahiyo avata ukajua id mpya shangaziWe utanimalizia, subiri tukishakula nitakuletea kipande. Sawa mtoto mzuri!!
Alafu avatar imenifanya nikusahau shangazi.
Nikahisi ushazeeka umeamua kuja na id mbichi mbichi.hahah shangazi jaman kwahiyo me mroho sio vizuri ujue kwahiyo avata ukajua id mpya shangazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shangazi hurumia mbavu zangu id hiii na ukibibi ugagula huuNikahisi ushazeeka umeamua kuja na id mbichi mbichi.
Shangazi kwenye keki bado sijakusahau, kwahiyo subiri tu nitakuletea kabla haujanitia aibu ugenini.
Usijali my dear si unajua mihangaiko ya kutwa nzima.Very sory sweetheart, ndio naiona hii notification now.
Happy birthday dear. Mwenye enzi akujaalie kila lililojema na uzidi kuwa na that beautifull heart daima.
Hope sijachelewa keki.
I'm speechless dear, emmyta .
Kumbe si mimi pekee niliyekuwa naona busara zako?.Hongera kwa hilo na uzidi kuji-maintain.
Ila n'na swali la kizushi, Happy birthday ni maalum kwa ajili yako au Mama yetu aliyekuzaa?.Baada ya kulijibu hili swali ndipo nitakapotoa heri katika nafasi nitakayoiacha hapa chini.
Happy birthday..............................
Love you more darling.Usijali my dear si unajua mihangaiko ya kutwa nzima.
Ahsante best nashukuru sana sana kwa dua zako. [emoji8] [emoji8] [emoji8] . pia nasikitika kwa kuwa tulishakata keki lakini usijali ntakupitishia iliyobaki kutakapo pambazuka.[emoji23] [emoji23] [emoji23].
Penda wewe mingi mingi [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Love you more darling.
Nasubiri tu hiyo keki, ila tafadhali nipitishie mimi kabla ya shunie maana ile namba ni nyingine kabisa.
Thank u my dear. [emoji8] [emoji8] [emoji8]Happy birthday emmyta, live long
Majina mengine ukiitwa unanenepa tu. Birthday yangu uniite basi hapo mbele ya darling ongeza na sweetheart.Love you more darling.
Nasubiri tu hiyo keki, ila tafadhali nipitishie mimi kabla ya shunie maana ile namba ni nyingine kabisa.