Happy birthday to Emmyta

Happy birthday to Emmyta

We utanimalizia, subiri tukishakula nitakuletea kipande. Sawa mtoto mzuri!!
Alafu avatar imenifanya nikusahau shangazi.
hahah shangazi jaman kwahiyo me mroho sio vizuri ujue kwahiyo avata ukajua id mpya shangazi
 
Nikahisi ushazeeka umeamua kuja na id mbichi mbichi.

Shangazi kwenye keki bado sijakusahau, kwahiyo subiri tu nitakuletea kabla haujanitia aibu ugenini.
 
I'm speechless dear, emmyta .

Kumbe si mimi pekee niliyekuwa naona busara zako?.Hongera kwa hilo na uzidi kuji-maintain.

Ila n'na swali la kizushi, Happy birthday ni maalum kwa ajili yako au Mama yetu aliyekuzaa?.Baada ya kulijibu hili swali ndipo nitakapotoa heri katika nafasi nitakayoiacha hapa chini.

Happy birthday..............................
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shangazi hurumia mbavu zangu id hiii na ukibibi ugagula huu
 
Very sory sweetheart, ndio naiona hii notification now.

Happy birthday dear. Mwenye enzi akujaalie kila lililojema na uzidi kuwa na that beautifull heart daima.
Hope sijachelewa keki.
Usijali my dear si unajua mihangaiko ya kutwa nzima.

Ahsante best nashukuru sana sana kwa dua zako. [emoji8] [emoji8] [emoji8] . pia nasikitika kwa kuwa tulishakata keki lakini usijali ntakupitishia iliyobaki kutakapo pambazuka.[emoji23] [emoji23] [emoji23].

Penda wewe mingi mingi [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
I'm speechless dear, emmyta .

Kumbe si mimi pekee niliyekuwa naona busara zako?.Hongera kwa hilo na uzidi kuji-maintain.

Ila n'na swali la kizushi, Happy birthday ni maalum kwa ajili yako au Mama yetu aliyekuzaa?.Baada ya kulijibu hili swali ndipo nitakapotoa heri katika nafasi nitakayoiacha hapa chini.

Happy birthday..............................

Nimezipokea hongera zako ahsante [emoji120] [emoji120] [emoji120].

Nadhani wote wawili kila mmoja.kwa nafasi yake anastahili pongezi. [emoji124] [emoji124]
 
Usijali my dear si unajua mihangaiko ya kutwa nzima.

Ahsante best nashukuru sana sana kwa dua zako. [emoji8] [emoji8] [emoji8] . pia nasikitika kwa kuwa tulishakata keki lakini usijali ntakupitishia iliyobaki kutakapo pambazuka.[emoji23] [emoji23] [emoji23].

Penda wewe mingi mingi [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Love you more darling.
Nasubiri tu hiyo keki, ila tafadhali nipitishie mimi kabla ya shunie maana ile namba ni nyingine kabisa.
 
Thank u much my dear. [emoji8] [emoji8]

Usijali mana namjua dada yangu alivyo na mapenzi ya keki. [emoji23] [emoji23]
 
Happy birthday emmyta
Busara zako zinanifanya nikufananishe na jirani yangu mmoja hivi... Sijui ndio wewe???

[HASHTAG]#latewish[/HASHTAG]
 
Love you more darling.
Nasubiri tu hiyo keki, ila tafadhali nipitishie mimi kabla ya shunie maana ile namba ni nyingine kabisa.
Majina mengine ukiitwa unanenepa tu. Birthday yangu uniite basi hapo mbele ya darling ongeza na sweetheart.

Kazi njema.
 
Back
Top Bottom