Happy birthday to Emmyta

Happy birthday to Emmyta

images(46).png
images(45).jpg
 
Nikutakie heri katika siku hii muhimu pacha.
Karibu nyumbani tukate keki
 
Nikutakie heri katika siku hii muhimu pacha.
Karibu nyumbani tukate keki
Ahsante sana pacha wake.

Nawe pia nikutakie kheri ya kuzaliwa pacha wangu m'mungu akujaalie uzima na akupe kila la kheri kwenye maisha yako ya kila siku.

Baadae Nitakaribia pacha usijali sina budi nikaribie ili tukate keki pamoja. [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom