Happy birthday to Emmyta

Happy birthday to Emmyta

Bamdogo shikamoo hivi ushauri gani kwani anaoongelea shangazi

Marahaba mamdogo haujambo!

Yule nimemblock siku hizi sipati comments zake

[emoji2] [emoji2] [emoji2]

hahahah kwa nini umemblock shangazi yangu jamaan

Ananiharibia huyo.
Mfano hapa nasubiri uniambie kaharibu nini tena leo

kaniambia eti nimefata ushauri wako hivi ni ushauri gani bamdogo

Yule acha naye atakupoteza. Naona unazidi kuwa mzuri tu. Haya bwana nitafanye sasa na yalishakuwa.
Hiki ni kikao cha kifamilia au?
 
[emoji134] [emoji134] ameshaimaliza yote hivi kwa nini usingenipigia jaman nifate mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tatizo simu haikuwa na chaji hivyo nikaona kwa espy ndio karibu.

Pole dada ake. Nitakuandalia nyingine maalum kwa ajili yako. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
We mwana we!!!

Si unakumbuka nilikwambia hii namba kwa cake ni nyingine eeeh!!

Kwakweli sikukosea kutokwenda na wewe shangazi, si umaona sasa!!!
Nimeamini my dear. [emoji2] [emoji2]

Ila nitamuandalia ya peke yake. [emoji23] [emoji23]
 
We mwana we!!!

Si unakumbuka nilikwambia hii namba kwa cake ni nyingine eeeh!!

Kwakweli sikukosea kutokwenda na wewe shangazi, si umaona sasa!!!
[emoji134] [emoji134] hivi kwa nini lakini uliimaliza yote shangazi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tatizo simu haikuwa na chaji hivyo nikaona kwa espy ndio karibu.

Pole dada ake. Nitakuandalia nyingine maalum kwa ajili yako. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kheee nyingine tena naona nimekua Toto nadanganywa huku najiona
 
Back
Top Bottom