Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Hahahaaaa hujambo mpenziHuu ujirani wenu huu siutaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa hujambo mpenziHuu ujirani wenu huu siutaki
Hahahaaaa hujambo mpenzi
sasa hiv namchukia daby ujue kwa sababu yako.Hahahaaaa hujambo mpenzi
Bamdogo shikamoo hivi ushauri gani kwani anaoongelea shangazi
Marahaba mamdogo haujambo!
Yule nimemblock siku hizi sipati comments zake
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
hahahah kwa nini umemblock shangazi yangu jamaan
Ananiharibia huyo.
Mfano hapa nasubiri uniambie kaharibu nini tena leo
kaniambia eti nimefata ushauri wako hivi ni ushauri gani bamdogo
Hiki ni kikao cha kifamilia au?Yule acha naye atakupoteza. Naona unazidi kuwa mzuri tu. Haya bwana nitafanye sasa na yalishakuwa.
Na wewe pia si mwanafamilia shangaziHiki ni kikao cha kifamilia au?
Na sisi jeeeAhsante sana mpendwa japokuwa umechelewa.
Usijali umepata my dear. Ngoja nifanye ustaarabu nikupitishie.
Penda sana wewe [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ndio maana nimeuliza kwanza kama ni cha kifamilia ili nami nijiunge shangazi.Na wewe pia si mwanafamilia shangazi
We mwana we!!!Na sisi jeee
Si unakumbuka nilikwambia hii namba kwa cake ni nyingine eeeh!!Nilimletea espy kwani hakukupa?
Kwakweli sikukosea kutokwenda na wewe shangazi, si umaona sasa!!![emoji134] [emoji134] ameshaimaliza yote hivi kwa nini usingenipigia jaman nifate mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tatizo simu haikuwa na chaji hivyo nikaona kwa espy ndio karibu.[emoji134] [emoji134] ameshaimaliza yote hivi kwa nini usingenipigia jaman nifate mwenyewe
Nimeamini my dear. [emoji2] [emoji2]We mwana we!!!
Si unakumbuka nilikwambia hii namba kwa cake ni nyingine eeeh!!
Kwakweli sikukosea kutokwenda na wewe shangazi, si umaona sasa!!!
Ile birthday party bado inaendelea kumbe!Ahsante sana mpendwa japokuwa umechelewa.
Usijali umepata my dear. Ngoja nifanye ustaarabu nikupitishie.
Penda sana wewe [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ilishaisha ila kuna watu niliwapelekea kamzigo nyumbani ndio kwengine hakajafika. [emoji2] [emoji2]Ile birthday party bado inaendelea kumbe!
Cha kifamilia shangazi kinakuhusuNdio maana nimeuliza kwanza kama ni cha kifamilia ili nami nijiunge shangazi.
[emoji134] [emoji134] hivi kwa nini lakini uliimaliza yote shangaziWe mwana we!!!
Si unakumbuka nilikwambia hii namba kwa cake ni nyingine eeeh!!
Kwakweli sikukosea kutokwenda na wewe shangazi, si umaona sasa!!!
Kheee nyingine tena naona nimekua Toto nadanganywa huku najiona[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tatizo simu haikuwa na chaji hivyo nikaona kwa espy ndio karibu.
Pole dada ake. Nitakuandalia nyingine maalum kwa ajili yako. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ya peke angu sitaki mimiNimeamini my dear. [emoji2] [emoji2]
Ila nitamuandalia ya peke yake. [emoji23] [emoji23]
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Kheee nyingine tena naona nimekua Toto nadanganywa huku najiona
Jamani dada ake usifanya hivyo. Basi tusubiri ijayo. [emoji2] [emoji2].Ya peke angu sitaki mimi