Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hapana shangazi, tatizo ni mtaala, teh teh teeeh!!Ahahah kumbe tatizo ni wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana shangazi, tatizo ni mtaala, teh teh teeeh!!Ahahah kumbe tatizo ni wewe
Hata nami naona hivyo my sio rahisi kushindwa kuelewa. Ni kiasi cha kuamua tu [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Labda wewe ndugu yangu hautonishindwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana shangazi, tatizo ni mtaala, teh teh teeeh!!
Hivi kumbe ni kuamua tu!! Sasa naweza amua asubuhi alafu jioni akanitibua nikajikuta nambarasa badala ya kumbembeleza.Hata nami naona hivyo my sio rahisi kushindwa kuelewa. Ni kiasi cha kuamua tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahhh nimecheka sana ulivyokua unamuongelea mume wangu jina unalijua ila umelisahauKwahiyo shangazi mumeo anaitwa kicheko?
Kwako we atakaa sawaNdio nataka nimpe darasa nina imani atakaa sawa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2]Hapana shangazi, tatizo ni mtaala, teh teh teeeh!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shangazi nakugawaHivi kumbe ni kuamua tu!! Sasa naweza amua asubuhi alafu jioni akanitibua nikajikuta nambarasa badala ya kumbembeleza.
Hivi sio kwamba hiki nacho ni kipaji my dada?
Hivi kumbe ni kuamua tu!! Sasa naweza amua asubuhi alafu jioni akanitibua nikajikuta nambarasa badala ya kumbembeleza.
Hivi sio kwamba hiki nacho ni kipaji my dada?
Kabisa dada ake. Hata kama akiishia njiani chembe chembe lazima abaki nazo. [emoji23] [emoji23]Kwako we atakaa sawa
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Happy born
Ahsante sana mdogo wangu. [emoji8] [emoji8] [emoji8]Happy happy birthday Emyta
Mimi mzima. Majukumu tu, si unajua tena mwezi wa saba umekaribia, hivyo najipanga kubakia dar.[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sio kwa kuchelewa huko best.
Mzima?
Hahahaaa. Pole na majukumu best.Mimi mzima. Majukumu tu, si unajua tena mwezi wa saba umekaribia, hivyo najipanga kubakia dar.
Shangazi mumeo jinale gumu sana bwana.hahahhh nimecheka sana ulivyokua unamuongelea mume wangu jina unalijua ila umelisahau
Uuwiii [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134].Happy born day Emmyta