Happy birthday to Emmyta

Happy birthday to Emmyta

Hata nami naona hivyo my sio rahisi kushindwa kuelewa. Ni kiasi cha kuamua tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kumbe ni kuamua tu!! Sasa naweza amua asubuhi alafu jioni akanitibua nikajikuta nambarasa badala ya kumbembeleza.

Hivi sio kwamba hiki nacho ni kipaji my dada?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shangazi nakugawa
 
Hivi kumbe ni kuamua tu!! Sasa naweza amua asubuhi alafu jioni akanitibua nikajikuta nambarasa badala ya kumbembeleza.

Hivi sio kwamba hiki nacho ni kipaji my dada?

Hahaaa. Hivi kumbe ni kipaji [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom