Happy birthday to me D

Happy birthday to me D

leo nimetimiza miaka 23
Una umri mdogo alafu kichwa kimejaa Mambo mengi nyinyi ndio hua mnazeeka mapema, nna dogo yupo hapa Mambo mengi km wewe sasa ameanza kutoka uwalaza kichwani nywele zimegoma kuota na macho yamepoteza Nuru ameenda kupatiwa miwani yenye lens yenye nguvu za kumwezesha kuona na ukizingatia hapo ana miaka 21 tu sasa km sio kuzeeka mapema ni nini ?
 
Una umri mdogo alafu kichwa kimejaa Mambo mengi nyinyi ndio hua mnazeeka mapema
Na naelekea kuzeeka kweli. Ama kweli maarifa ni chanzo cha huzuni na shida maishani.
 
Mkuu mwezi huu tupia story/makala moja ndefu ya kuvunja rekodi humu Jf haijawahi tokea, ukiweka nitag
Chagua mwenyewe ungependa ihusu nini. muvi, Psychology, philosophy, Religious or ??
 
Back
Top Bottom