Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
EtiSiipokei mpaka umrudishe jolie
[emoji23] [emoji23]Siipokei mpaka umrudishe jolie
Wewe ni mtoto wa lini?Nimeshangaa kumbe ni mtoto wa juzi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahahaha!! Huyu dogo ni mwanangu sana hadi nimemfollow sema sometimes anakuwaga na akili za mazuzu kama Baba Swalehe, mwezi ukiwa nchanga. [emoji23] [emoji23]
Mie mtoto wa enzi za nyerereWewe ni mtoto wa lini?
Ndio maana sikuoni kwa muda mrefu kumbe umebadilisha labelHa ha ha umenichekesha kuniita jina la zamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe umetafsiri vibaya ndo mchokozi sasaUchokoz huu[emoji23] [emoji23]
Sawa bibiMie mtoto wa enzi za nyerere
Karibu mjukuuSawa bibi
Mmh upo!Karibu mjukuu
Sawa ila usije ukakimbia nikija kufukua na kuhakiki ubibi wako, kumbuka JF inaumbua sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Karibu mjukuu
Nakuruhusu kafukue mkuuSawa ila usije ukakimbia nikija kufukua na kuhakiki ubibi wako, kumbuka JF inaumbua sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo mkuu, unajionaje na haliMmh upo!
Niko poa mtu wangu, ubize kiasi flaniNipo mkuu, unajionaje na hali
Polee, chapa kazi bana uheshimikeNiko poa mtu wangu, ubize kiasi flani
Umegusa kunakooPolee, chapa kazi bana uheshimike