MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
[emoji4]Heri ya mfanano wa kuzaliwa mkuu. Ukawe na afya njema siku zote [emoji109]
Stage gani kwΓ mfano?ukiona mtu mzima ana tabia za kitoto kuna stage ya makuzi aliruka
Happy birthdayStage gani kwΓ mfano?
Maisha ni fumbo Ndugu yanguDunia ingejazwa na watu werevu, ingekuwa poa sana
Mkuu wewe ni ME au KE?Habari za wakati huu Ndugu zangu,...
Leo ni birthday yangu..,
Nawamiss sana watoto wenzangu tuliozaliwa wote pale Hospitali ya OSHENIRODI, Daslamu. Nakumbuka tulilia sana siku ile....ilikua ni fujo balaa...Mama zetu walihangaika sana kutumbeleza lakini wapi...
Happy birthday to me.
Maisha ni fumbo Ndugu yangu
Kuna jambo litatokea Dar , nakwambia litawaacha viongozi midomo wazi.Hakika...
Hii Nchi ina vijana wa hovyo sanaHakuna mtoto anaezaliwa osheni rodi akawa analia kama kondoo nabkuleta vurugu kule watoto toka day 1 wanajielewa na nina sikitika kama ww una over 30 basi kuna stage ilikupita shwaaaaaa ukiwa umesimama wima
Withi vividi egzampo ππππHii Nchi ina vijana wa hovyo sana