Happy Birthday to me, JamiiForums please wish me

Happy Birthday to me, JamiiForums please wish me

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
2,705
Reaction score
4,967
Habari za wakati huu ndugu zangu.

Leo ni birthday yangu. Nawamiss sana watoto wenzangu tuliozaliwa wote pale Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam. Nakumbuka tulilia sana siku ile, ilikua ni fujo balaa. Mama zetu walihangaika sana kutumbeleza lakini wapi.

Happy birthday to me.
 
Habari za wakati huu Ndugu zangu,...

Leo ni birthday yangu..,

Nawamiss sana watoto wenzangu tuliozaliwa wote pale Hospitali ya OSHENIRODI, Daslamu. Nakumbuka tulilia sana siku ile....ilikua ni fujo balaa...Mama zetu walihangaika sana kutumbeleza lakini wapi...

Happy birthday to me.
Mkuu wewe ni ME au KE?
 
Hakuna mtoto anaezaliwa osheni rodi akawa analia kama kondoo nabkuleta vurugu kule watoto toka day 1 wanajielewa na nina sikitika kama ww una over 30 basi kuna stage ilikupita shwaaaaaa ukiwa umesimama wima
Hii Nchi ina vijana wa hovyo sana
 
Heri ya kuzaliwa Mkuu.

Japo mie hata sikumbuki kabisa nilichokifanya nikiwa mchanga wakati nimezaliwa. We uko vizuri Mkuu mana unakumbuka hadi mlivyokuwa mnalia. Lol
 
Back
Top Bottom