Happy Birthday to me, kwaheri ujana. Sasa ni muda wa busara za kiutu uzima

Happy birthday to you and to me too . Mimi Leo nimegonga 49. Ila hiyo number 6 sikubaliani na wewe. Maisha yako ni yako na sio community project. Jamii yako itafaidika na kazi zao… Nilipokuwa 30 nilifikiri Kama wewe na hiyo number 6 ilinitesa sana hadi nilipofika 35 ndio nikajigundua…
Kwa sasa ni Mimi tu na kuendelea na mipango ya uzeeni…
 
Heri kwako mdogo wangu,

Nasoma maandiko yako mengi kwa Umri wako unajitahidi sana kufikiri na kuandika.

Hongera sana.

N.B. Watu kama nyie Serikali haiwapendi.Andika mambo ya kijamii zaidi kama ambavyo umekuwa unafanya.

Nashukuru sana Mkuu.

Mambo kadhaa yatabadilika lakini sitaacha kutumia muda kadiri niupatavyo kuishauri jamii
 
Heri kwako mdogo wangu,

Nasoma maandiko yako mengi kwa Umri wako unajitahidi sana kufikiri na kuandika.

Hongera sana.

N.B. Watu kama nyie Serikali haiwapendi.Andika mambo ya kijamii zaidi kama ambavyo umekuwa unafanya.

Nashukuru sana Mkuu.

Mambo kadhaa yatabadilika lakini sitaacha kutumia muda kadiri niupatavyo kuishauri jamii
 

Shikamoo mtu mzima mwenzangu.
Ni kweli maisha ya mtu ni ya mtu lakini yanakuwa na thamani pale anapokuwa na tija kwenye jamii.

Hongera kwa kuwa na miaka 49. Umebakiza 11 uingie kwenye kundi la Wazee
 

Barikiwa sana Mkuu.
Sasa nimekua mtu mzima.
 
Hongera ,

Umri sio miaka Ila ni ukomavu wa maarifa na hekima.

Kwa miaka 30 umekuwa hazina tayari kwa kuwa na upeo mkubwa wa kufikiri kwa kina .

Hiyo pia ni neema kubwa Sana kupata kiwango cha ufahamu Kama huo Ila naamini pamoja na yote wewe Author , na pia bookwork hivyo kalamu yako imebarikiwa Sana kundika maneno yenye hekima
 
πŸ‘πŸ’πŸŽ
 
Mwanafasihi umeiva kabisa Heri ya kuzaliwa mzee mwenzangu
 
TAIKUNI WA FASIHI, heri ya kuzaliwa we jama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…