Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Nilifikiri umefika 40 ambayo bado ni kijana. Nafikiri upo over sensitive kuhusu age yako hii inaweza ikakusumbua utakapokuwa 40.
Kwenye maisha nitasumbuliwa na jambo moja tuu. Nalo ni kufanya Uasi.