Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #61
Nilifikiri umefika 40 ambayo bado ni kijana. Nafikiri upo over sensitive kuhusu age yako hii inaweza ikakusumbua utakapokuwa 40.
Bado wewe ni dogo sana
heri ya kuzaliwa bwa mdogo
Hongera kwa binti kimoso lwa kukuza.
Mtu mzima gani wakati kunyoa mavyuzz hujanyoa zaidi ya mara 20 tangu yaanze kuota.??
Wewe bado ni dogo.
Subiria angalau ufike 40.
HBD Mtibeli.
Maisha marefu kwako Mtibeli
Kwa hii miaka ya shisha na pangusa kufikia 30 ni kama zamani uwe na 120
Taikon kumbe na wewe umezaliwa march 1994, Tumelingana, ila me mkubwa kwako ,me nimezaliwa 06/03/1994
Ndo tunayaga ujana hivyo mkuu
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Waandishi nguli na wenye falsafa za kuelimisha hongera kwako #theghostwritet
π heri ya kuzaliwa kwakeMaisha marefu kwako Mtibeli
Kwa hii miaka ya shisha na pangusa kufikia 30 ni kama zamani uwe na 120
Nina miaka 15 zaidi yako na bado mambo mengi hayajakaa vizuri kabisa. Labda wewe ni perfectionist. Ni tatizo pia.Kwenye maisha nitasumbuliwa na jambo moja tuu. Nalo ni kufanya Uasi.
Kama hujaoa bado hujawa mtu mzima!
Nina miaka 15 zaidi yako na bado mambo mengi hayajakaa vizuri kabisa. Labda wewe ni perfectionist. Ni tatizo pia.
Ishi sana bro
Karibu sana kijana.Naomba Ukaribisho mkuu
Hapa nasubiri muongozo wa wakubwa waniambie nini nifanyeHappy birthday mtiberi asili! Mtiberi shina! Mtiberi mwenyewe! Tunasubiri sherehe ya kukuingiza kwenye Rika la wazee! ππ
Karibu sana kijana.
Sisi wengine ni wastaafu lakini baadhi ya vijana wanatuvunjia heshima humu ndani.
Happiest birthday to you
kwenye mavuz hapo kama kuna ukwel flan hv!!! oya mtibeli thibitisha kauli ya mwamba hapa.Mtu mzima gani wakati kunyoa mavyuzz hujanyoa zaidi ya mara 20 tangu yaanze kuota.??
Wewe bado ni dogo.
Subiria angalau ufike 40.
Kitendo tu cha kusherekea sikukuu ya kuzaliwa inaonyesha bado sanaa unasafiri ndefu.