Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Kwanza mimi nina wasiwasi, miaka 30 ni utu uzima kweli?Kama una miaka 30 mwaka huu inamaana "Nikiwa darasa la kwanza 1994, wewe ndio unazaliwa"
Kumbe huwa tunabishana na madogo sanaa humu..!!!
#YNWA
Mimi nadhani mpangilio ungekuwa hivi...
1)Chini ya 20...MTOTO.
2)20-40 ...KIJANA.
3)40-60 ...MTU MZIMA.
4)60nakuendelea... MZEE
Mtibeli, you still have a long way to go kufikia utu uzima. Almost a decade!