Happy Birthday to me, kwaheri ujana. Sasa ni muda wa busara za kiutu uzima

Kama una miaka 30 mwaka huu inamaana "Nikiwa darasa la kwanza 1994, wewe ndio unazaliwa"
Kumbe huwa tunabishana na madogo sanaa humu..!!!

#YNWA
Kwanza mimi nina wasiwasi, miaka 30 ni utu uzima kweli?

Mimi nadhani mpangilio ungekuwa hivi...

1)Chini ya 20...MTOTO.
2)20-40 ...KIJANA.
3)40-60 ...MTU MZIMA.
4)60nakuendelea... MZEE

Mtibeli, you still have a long way to go kufikia utu uzima. Almost a decade!
 
0-18 mtoto
19-40 kijana
41-55 makamo
56-80 mzeee
81++ kikongwe
 

Ujana 0- 30
Utu uzima 30 - 60
Uzee 60 -200 huko.
 
Mtibeli acha hizo, bado hujafikia utu uzima una miaka 10 mbele.

So enjoy ujana!

πŸ˜€πŸ˜€
Mkuu kama hujapewa kadi ya utu uzima na upo above 30 njoo kwenye sherehe iungwe.
Utu uzima haimaanishi hutafurahia maisha.

Kufurahia maisha kwetu ni culture. Hakuna umri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…