Happy Birthday to Me! OMG!!!ODM anazidi kulisogelea kaburi...

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
68,223
Reaction score
96,083
Marahabaaa......

Nimesubiri weeee nione nani atajipendekeza lakini hola! Imekula kwangu mazima.

Anyway nimetoka mbali wakulu

Katoto katundu....




Kijana mtukutu, mbunifu, mkaguzi na asiyependa kupitwa na jambo...


Kijana rijali mwenye mhemko wa kibaiolojia, mabinti hawakukatiza kirahisi....



Mzee wa makamo anayeenda na wakati.....



Mzee Brazamen anayejichanganya kitaa.....




Na Sasa...........Mzee mtu mzima aliyeamua kutulia.....




Bado maisha yanasonga mbele!!

Ahsante Mungu kwa kuniweka hai mpaka leo, kunijalia afya tele na maisha ambayo najisikia amani duniani.
Ahsante Mama kwa kunizaa, kunilea na kunitunza kwenye maadili mema.
Ahsante Baba kwa kumuoa mama, na kumpa nafasi na uwezo wa kufanya yote aliyonitendea huku ukiwa kioo cha maisha yangu.
Ahsante mke wangu kwa kukubali kuolewa na mimi na kuishi na mimi kwa mapenzi ya hali ya juu (shenzy zao waliokuwa wakikumendea ukawapiga chini)
Ahsante wanangu kwa kuwa watoto wazuri, kuheshimu wazazi ndugu jamaa na marafiki na kuwa mfano bora kwa watoto wenzenu. (Sijawahi juta kuwa baba yenu)
Ahsante walimu wangu, wallah bila chaki zenu ningekuwa mkulima stadi aliyechoka mbaya
Ahsante TBL, SBL, TDL, Grants, kwa kuhakikisha maisha yangu yanakuwa ya burudani tele na ubongo wangu kuwa na utulivu
Ahsante Condoms (Hapa sina cha kusema zaidi, dongo lingeshanifukia siku nyiiingi)
Ahsante mabaamedi.... anyway.

Mwisho lakini siyo kwa umuhimu, Ahsante JF members hasa CC na MMU kwa kunifanya niwe na marafiki wa ukwee waliopatikana kwa uwezo wa vidole vyangu...

Kwa watakaokuwa na nafasi, tafrija ya shukrani itafanyika Etiennes Bar, Boko Basihaya Kaunta ya Juu.
Wanajamii kumi watakaofika wa kwanza watapata bia tatu baridi za bure na wataruhusiwa kujichagulia mhudumu wa kuwahudumia.

Mungu awabariki sana, na karibuni nyote katika safari ya kulijongelea kaburi.
 
Heri ya kuzaliwa siku kama ya leo kaka mkubwa...
Nashukuru sana mkulu wangwe... Dah dongo tani saba linazidi kuninyemelea..... BTW una mawasiliano yoyote na amu na Paloma? I know you know what I mean.... damn!

Hepi besdei tu yuuu....... Hizi basdei za siku hizi zinafika haraka sana.......
Umeona eh mdada. Najua hauchezi mbali na mimi. Dingi yangu na dingi yako walikuwa wanajua kulenga shabaha tarehe za mvua ya masika bana!!
 
Last edited by a moderator:
Wali nipumzisha mzee wangu. moderator wasamehe babu nao ni binadamu kama sisi. Salamu zimefika kwa marejesho . Uzidishiwe hekima na busara kadri umri wako unavyo zidi na afya iimarike.
Amina mkuu.... Eti ni kweli nawe walikusweka lupango? Kuna mods humu namalizia mchakato, lazima niwabadili jinsia kudedededeki!.... Nipelekee salamu zangu kwa sweetlady, Filipo na marejesho
 
Last edited by a moderator:
yaani hata sasa nipo nao mpwa... amu ndio kaniandikia ile post ya kwanza na Paloma akabofya Repy.
Dah! Hawa mabinti nawakubali sana kwenye haya makitu. Uwe unaniachaga nami japo kwa siku moja........ Unakumbuka ile siku?



Hapo cacico, nivea na Madame B walibaki hooooi!!
 
Last edited by a moderator:
Hah hah hah hah hah! Umenifurahisha sana babu!
Happy Birthday to you. Death day is around the corner!
Mkulu tema mate chini, Ziraili si mtu mzuri sana... Unakumbuka tumetoka mbali sana??



Happy Birthday ODM.
May God's blessings be part of your life.
Amina Marry Hunbig, hivi unajua nlivo na mahaba na wewe?

Wali nipumzisha mzee wangu. moderator wasamehe babu nao ni binadamu kama sisi. Salamu zimefika kwa marejesho . Uzidishiwe hekima na busara kadri umri wako unavyo zidi na afya iimarike.
Hawa mods niachieni mimi, dawa yao naijua mwenyewe....

Happy birthday, pilo wapi?
Thanks Mkuu. Ukisoma thread vizuri utaona pilau litakuwa wapi. Wahi!!

Happy birthday ODM
Waoh! Kwa mara ya kwanza nimepata wish yako Angel Msoffe, hakika mimi na wewe tutakuwa sote kwenye ufalme wa mbinguni.:mwaaah:
 
Last edited by a moderator:
happy birthday my hubby Asprin!! nilingoja useme neno nikupe SURPRIZE, nimeandaa 6some na kim kardashian, nataka awe centre, tujimwayeeeeeee mpaka! mi luv u huby wangu.

NAKUOMBEA BARAKA TELE KATIKA MAISHA YAKO! KILA LILILO ZURI LIWE MBELE YAKO, UFANIKIWE KATIKA YOTE. NAKUPENDA MUME WANGU!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…