Happy Birthday to Me! OMG!!!ODM anazidi kulisogelea kaburi...

Happy Birthday to Me! OMG!!!ODM anazidi kulisogelea kaburi...

Last edited by a moderator:
Ohm MaMma, Muzee ya Kitaa kumbe umekula chumvie eh...

Naamini sasa busara na hekima zitatawala kichwa chako kama mimi Mzee Mtambuzi...........
 
Asprin sasa babu wewe umemwaga mchele kwenye kuku wengi mi naona aibu banaaaa!
Binti neggirl, ukibofya ID yangu na kuseslekti opsheni ya Praiveti Meseji, utanikuta nakusubiri kwenye Inbox ya PM zangu. hebu do the needful ili niamini kweli we ni mtoto mzuri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom