Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye Enzi Mungu, azidi kukulinda, kukukuza mwili na akili pia!Namshukuru Mungu kwa neema na upendo wake kwangu hadi siku ya leo. Naamini ataniweka Hai hadi kuona watoto wa watoto wangu na baraka nyingine nyingi zaidi. Nitafurahi kupata neno la faraja na ushauri kutoka kwenu wakuu. Happy birthday to ME.
Wanaume huwa hatuimbiwi happy birthday! Achana na hayo makituMi ni ME
ulikuwa mbaya kinoma.Namshukuru Mungu kwa neema na upendo wake kwangu hadi siku ya leo. Naamini ataniweka Hai hadi kuona watoto wa watoto wangu na baraka nyingine nyingi zaidi. Nitafurahi kupata neno la faraja na ushauri kutoka kwenu wakuu. Happy birthday to ME.