Happy birthday to me + [picha]

Happy birthday to me + [picha]

Namshukuru Mungu kwa neema na upendo wake kwangu hadi siku ya leo. Naamini ataniweka Hai hadi kuona watoto wa watoto wangu na baraka nyingine nyingi zaidi. Nitafurahi kupata neno la faraja na ushauri kutoka kwenu wakuu. Happy birthday to ME.
Mwenye Enzi Mungu, azidi kukulinda, kukukuza mwili na akili pia!
 
Namshukuru Mungu kwa neema na upendo wake kwangu hadi siku ya leo. Naamini ataniweka Hai hadi kuona watoto wa watoto wangu na baraka nyingine nyingi zaidi. Nitafurahi kupata neno la faraja na ushauri kutoka kwenu wakuu. Happy birthday to ME.
ulikuwa mbaya kinoma.
 
Back
Top Bottom