Happy birthday to me, Taikon wa Fasihi

Happy birthday to me, Taikon wa Fasihi

Hilo haliniwazishi Mkuu. Nawe lisikuwazishe.
Maisha yanaamuliwa na MUNGU.

Tufanye mambo Kwa uwezo wetu wote, Akili, nguvu na mioyo yetu yote lakini Kupata na kukosa tutamuachia Mungu....
Hivyo ndivyo kuishi Kwa Amani na Furaha.

Ukiishi Kwa kujua Maisha yanaamuliwa na Mungu kamwwe hutodharau wengine na kujiona Bora kuliko wengine, au kujidharau
Sawa mkuu, but sometimes tulio wengi tunakata tamaa kabisa.Kama mimi currently nimekata tamaa sana sana pamoja na kuamini katika falsafa ya "NEVER GIVE UP " aah naona nimezidiwa na sijui itakuwaje siku kadha zijazo?
 
😄😄😄
Acha kuwaza mambo ya kesho.
Jukumu lako ni kuiwaza Leo tuu kuona inaishaje. Yakesho hayakuhusu.

Mimi hata niwe Maskini au tajiri nipo tayari Kwa lolote.
Hata nitengwe na kubaki peke yangu nitashukuru.

Usipende kuzingatiwa na kutafuta kuheshimiwa. Utaishi Maisha ya furaha Sana
 
Heri ya siku yako kuzaliwa mkuu, uishi uishi na uishi kadiri Mwenyezi MUNGU atakavyokujalia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ushamba ni mzigo Sana.
Kwani nilikuandikia wewe?[emoji1][emoji1]
Kitu hakikuhusu
Mimi sikuhusu Kwa lolote
Hunijui sikujui,
Sikukuomba usome ni kiherehere chako tuu.

Wewe sio moderator
Wewe sio mmiliki wa JF.
Wewe huna unalojua kuhusu masuala ya sociology.
Lakini Kwa vile ni mshamba ATI inakukera[emoji23][emoji23]

Hii Dunia inavioja sana
Mwerevu hukerwa na ujinga wowote ule anauona. Huu ni ujinga na upumbavu ndio maana nakerwa nao.

Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya hivi. Tafuta nani mwingine mwaka huu umeona kapost mambo ya birthday yake humu. Au unafikiri wewe peke yako ndio mwenye birthday?
Mpumbavu wa mwisho kabisa
 
Ni kawaida ya wapumbavu kujilinganisha.

Ushamba WA kurithi ni shida Sana.
 
Kwema Wakuu!

Ninafuraha kubwa katika siku hii ya leo.
Hii ndio siku ambayo nilizaliwa. Ndimi Taikon wa Fasihi, Mnyanyembe wa Tabora.

Nawashukuru wote mliokuwa baraka kwangu, lakini pia nawashukuru wale mliogeuka changamoto kwangu,
Mnisamehe wale wote niliowakosea Kwa namna moja ama nyingine.
Mimi kila Siku ninawasamehe wanikoseao, kamwe jua halitozama bila kusamehe walionikwaza. Hivyo sina kinyongo.

Tuishi Kwa upendo, tukifundishana, tukionyana na kukemeana pale tunapokosea. Lakini pia tukisaidiana, iwe ni kimawazo, kiuchumi, kijamii na Kiroho.

Hivyo ndivyo Maisha yetu yatakavyokuwa mazuri na Furaha.

Happy birthday to me, Taikon wa Fasihi, Mnyanyembe.

Sabato NJEMA.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Happy birthday! Unakwenda lini Tibeli?
 
Back
Top Bottom