Happy birthday to me, Taikon wa Fasihi

Sawa mkuu, but sometimes tulio wengi tunakata tamaa kabisa.Kama mimi currently nimekata tamaa sana sana pamoja na kuamini katika falsafa ya "NEVER GIVE UP " aah naona nimezidiwa na sijui itakuwaje siku kadha zijazo?
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Acha kuwaza mambo ya kesho.
Jukumu lako ni kuiwaza Leo tuu kuona inaishaje. Yakesho hayakuhusu.

Mimi hata niwe Maskini au tajiri nipo tayari Kwa lolote.
Hata nitengwe na kubaki peke yangu nitashukuru.

Usipende kuzingatiwa na kutafuta kuheshimiwa. Utaishi Maisha ya furaha Sana
 
Heri ya siku yako kuzaliwa mkuu, uishi uishi na uishi kadiri Mwenyezi MUNGU atakavyokujalia.
 
Mwerevu hukerwa na ujinga wowote ule anauona. Huu ni ujinga na upumbavu ndio maana nakerwa nao.

Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya hivi. Tafuta nani mwingine mwaka huu umeona kapost mambo ya birthday yake humu. Au unafikiri wewe peke yako ndio mwenye birthday?
Mpumbavu wa mwisho kabisa
 
Ni kawaida ya wapumbavu kujilinganisha.

Ushamba WA kurithi ni shida Sana.
 
Happy birthday! Unakwenda lini Tibeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…