Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kweli? 🤣Is it possible? How? Check the man. If its me then I should be banned forever. Waambie Moderator kama hiyo ni my ID nipigwe ban milele. Maana nitaanza kuwa na upumbavu kama mfanyao hivyo.... Business.....Umejiita na kujijibu mwenyewe.
[emoji1787]Itakulazimu uwaalike majirani zako wote kuimaliza hiyo keki, maana nimeagiza kulingana na urefu wako, imagine ulivyo tolu vile [emoji2957][emoji125][emoji125]
😅😅😅[emoji1787]
Usinihusishe kwenye mipango yako pulizio😂😂Hongera sana trudie Mimi na Intelligent businessman tunajichanga hapa tukupe kazawadi😂
Kama kawa mtamboooo was jf nakuona 🤔IDs zote zipo kazini leo?
kumbe una roho mbaya hivi 😂Usinihusishe kwenye mipango yako pulizio😂😂
Waambie mwenyewe moderators wakuchekie kama sio wewe...wakimaliza pia wacheki na hizo unazotuhumu ni ID za mtu mmoja then itakuwa fair play....kama nakumbuka kuna uzi wako mmoja ulishasema una ID nyingi utanishawishi vipi nisiamini hii ni moja kati ya nyingi???Kweli? [emoji1787]Is it possible? How? Check the man. If its me then I should be banned forever. Waambie Moderator kama hiyo ni my ID nipigwe ban milele. Maana nitaanza kuwa na upumbavu kama mfanyao hivyo.... Business.....
mbahili afu ni tajiri..... wachaga bana 😂Kakukana kweupee kweli
Kama kawa mtakuuu wa jf nakuona 😁Kama kawa mtamboooo was jf nakuona 🤔
Ninazo kama 50 ila zote zimefungiwa imebaki hii tu....Waambie mwenyewe moderators wakuchekie kama sio wewe...wakimaliza pia wacheki na hizo unazotuhumu ni ID za mtu mmoja then itakuwa fair play....kama nakumbuka kuna uzi wako mmoja ulishasema una ID nyingi utanishawishi vipi nisiamini hii ni moja kati ya nyingi???