Happy birthday to me Trudie

Happy birthday to me Trudie

Umejiita na kujijibu mwenyewe.
Kweli? 🤣Is it possible? How? Check the man. If its me then I should be banned forever. Waambie Moderator kama hiyo ni my ID nipigwe ban milele. Maana nitaanza kuwa na upumbavu kama mfanyao hivyo.... Business.....
 
Kweli? [emoji1787]Is it possible? How? Check the man. If its me then I should be banned forever. Waambie Moderator kama hiyo ni my ID nipigwe ban milele. Maana nitaanza kuwa na upumbavu kama mfanyao hivyo.... Business.....
Waambie mwenyewe moderators wakuchekie kama sio wewe...wakimaliza pia wacheki na hizo unazotuhumu ni ID za mtu mmoja then itakuwa fair play....kama nakumbuka kuna uzi wako mmoja ulishasema una ID nyingi utanishawishi vipi nisiamini hii ni moja kati ya nyingi???
 
Ninazo kama 50 ila zote zimefungiwa imebaki hii tu....
 
Back
Top Bottom