Happy birthday to me Vincii

Happy birthday to me Vincii

Okay
It's a wrong guess
Delete that comment of yours .. sihitaji kufananishwa na mtu .
I'm Sorry, it's done.
Ila nikipigwa Ban kwa kufuta comment uje unitetee😞
 
Hahahaaa. Ndio ndio 💃💃 yaani sisi wote tumezaliwa tarehe moja na mwezi mmoja.

Kuna uzi mbona upo kwa ajili ya kitafuta uliyezaliwa naye siku moja utafute nawe utapata pacha wenzako huko. 😅
Niko nhe ya wakati kweli but thanks for the tip.
Niambie nami ili watu wawe wananianzishia thread za hbd nifanyeje sasa😅
 
Niko nhe ya wakati kweli but thanks for the tip.
Niambie nami ili watu wawe wananianzishia thread za hbd nifanyeje sasa😅
😅 Hili si ndo yale tunaita maswali ya kizushi eti? Lol.

Mie sijui hata. 😂
 
😅 Hili si ndo yale tunaita maswali ya kizushi eti? Lol.

Mie sijui hata. 😂
Any Mama hujua kila kitu.. I bet you knew
255694002377_status_97310e4458aa46f4863782920c890257.jpg
 
Inaonyesha hiyo comment ilikuudhi sana mzee[emoji20]
Ulinikera kichizi, sababu nilikuwa niko serious saana katika lile jambo.
Wakati mwingine nikipitia ule uzi, japo tayari nishaoa sasa, huwa naitizama saana ile comment, huwa natamani hata sasa nikukaribishe home, umuone na shemeji yako, uone jinsi gani nilikuwa serious.
 
Happy birthday to my smart beib [emoji3590]
Thanks mkuu.
I'm not smart.. I'm just a random useless person. Trust me I'm not anykind of smart.
Hiyo beib tena mmhh but thank you🏃🏃🏃
 
Ulinikera kichizi, sababu nilikuwa niko serious saana katika lile jambo.
Wakati mwingine nikipitia ule uzi, japo tayari nishaoa sasa, huwa naitizama saana ile comment, huwa natamani hata sasa nikukaribishe home, umuone na shemeji yako, uone jinsi gani nilikuwa serious.
Dar I'm sorry kwakweli mzee ndio Dunia hii ilivyo mkuu, sio kila mtu atakufurahisha halafu kuna wengine sisi tutakukatisha tamaa na kukurudisha nyuma katika malengo yako. Hapo ndio tunakamilisha circle ya maisha na ubinaadamu.

Btw.. It'll be heshima kubwa kukaribishwa kumuona shemeji.
 
"The two most important days in your life are the day you are born and the day you find out why." - Mark Twain
 
Dar I'm sorry kwakweli mzee ndio Dunia hii ilivyo mkuu, sio kila mtu atakufurahisha halafu kuna wengine sisi tutakukatisha tamaa na kukurudisha nyuma katika malengo yako. Hapo ndio tunakamilisha circle ya maisha na ubinaadamu.

Btw.. It'll be heshima kubwa kukaribishwa kumuona shemeji.
Ninayajua haya, ndio maana nikasamehe kitambo.

Ndio maisha hayo.

Unakaribishwa mtaani.
 
Back
Top Bottom