Happy birthday to Me. (YOUNGBLOOD)

Happy birthday to Me. (YOUNGBLOOD)

Happy belated birthday rafiki yangu,Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na mafanikio.
Umezaliwa siku moja na The bold wangu...no wonder mimi nawe tu marafiki.
Cheers [emoji485] [emoji512]
 
Happy Birthday Bosi, Mungu akupe maisha marefu ya busara na furaha.

BTW, ungemtumie PM Shunie kumwomba aanzishe yeye Thread ya Happy Birthday Youngblood ingebamba sana, tena unamkodi atumie hata ka neno my love, ingetisha sana.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe ulikuwa umeshafanya fitna zako huku?
The bold unamuona Rai mambo yake?
 
Happy belated birthday rafiki yangu,Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na mafanikio.
Umezaliwa siku moja na The bold wangu...no wonder mimi nawe tu marafiki.
Cheers [emoji485] [emoji512]
Thanks for your birthday wishes mkuu, I know that you are utterly loving and delightfully caring.
BTW February tumezaliwa watu makini.[emoji1]
 
You are welcome

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kabisa kabisa mkuu.
 
Habari zenu.
Wakuu siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alizaliwa kijana wenu shupavu kabisa YOUNGBLOOD.
Namshukuru sana mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo,lakini pia nawatakia kheri ya siku ya kuzaliwa wale wote waliozaliwa siku kama ya leo.
Nawapenda sana wanaJF, tuendelee kupendana.
Happy birthday mkuu keki wapi nije sasa hivi[emoji124] [emoji124]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe ulikuwa umeshafanya fitna zako huku?
The bold unamuona Rai mambo yake?

No, unajua Birthday zao zimeangukia siku moja, sasa ili angalau na yeye ajitahidi tahidi inabidi aweke mbwembwe kidogo.

Mfano kama ni mimi ningeisogeza mbele tu, maana sitaki mambo ya kufunikwa funikwa mimi.
 
Mkuu wewe ni balaa aisee,sasa unaanzaje kupeleka birthday mbele.
 
Better late than never...

Happy birthday my dear, haja za moyo wako zikajibiwe furaha na amani viwe nawe sikuzote
 
Habari zenu.
Wakuu siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alizaliwa kijana wenu shupavu kabisa YOUNGBLOOD.
Namshukuru sana mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo,lakini pia nawatakia kheri ya siku ya kuzaliwa wale wote waliozaliwa siku kama ya leo.
Nawapenda sana wanaJF, tuendelee kupendana.
Happy birthday kaka
 
No, unajua Birthday zao zimeangukia siku moja, sasa ili angalau na yeye ajitahidi tahidi inabidi aweke mbwembwe kidogo.

Mfano kama ni mimi ningeisogeza mbele tu, maana sitaki mambo ya kufunikwa funikwa mimi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Habari zenu.
Wakuu siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alizaliwa kijana wenu shupavu kabisa YOUNGBLOOD.
Namshukuru sana mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo,lakini pia nawatakia kheri ya siku ya kuzaliwa wale wote waliozaliwa siku kama ya leo.
Nawapenda sana wanaJF, tuendelee kupendana.
Older than yesterday younger tomorrow happy birthday Youngblood
 
Back
Top Bottom