Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy Birthday Bosi, Mungu akupe maisha marefu ya busara na furaha.
BTW, ungemtumie PM Shunie kumwomba aanzishe yeye Thread ya Happy Birthday Youngblood ingebamba sana, tena unamkodi atumie hata ka neno my love, ingetisha sana.
Thanks for your birthday wishes mkuu, I know that you are utterly loving and delightfully caring.Happy belated birthday rafiki yangu,Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na mafanikio.
Umezaliwa siku moja na The bold wangu...no wonder mimi nawe tu marafiki.
Cheers [emoji485] [emoji512]
You are welcomeThanks for your birthday wishes mkuu, I know that you are utterly loving and delightfully caring.
BTW February tumezaliwa watu makini.[emoji1]
Happy birthday mkuu keki wapi nije sasa hivi[emoji124] [emoji124]Habari zenu.
Wakuu siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alizaliwa kijana wenu shupavu kabisa YOUNGBLOOD.
Namshukuru sana mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo,lakini pia nawatakia kheri ya siku ya kuzaliwa wale wote waliozaliwa siku kama ya leo.
Nawapenda sana wanaJF, tuendelee kupendana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe ulikuwa umeshafanya fitna zako huku?
The bold unamuona Rai mambo yake?
Umechelewa cake imeisha.Happy birthday mkuu keki wapi nije sasa hivi[emoji124] [emoji124]
Mkuu wewe ni balaa aisee,sasa unaanzaje kupeleka birthday mbele.No, unajua Birthday zao zimeangukia siku moja, sasa ili angalau na yeye ajitahidi tahidi inabidi aweke mbwembwe kidogo.
Mfano kama ni mimi ningeisogeza mbele tu, maana sitaki mambo ya kufunikwa funikwa mimi.
Mkuu wewe ni balaa aisee,sasa unaanzaje kupeleka birthday mbele.
Hahahaha, itakuwa tayari ime expireUnauchuna kutangaza mkuu, unaitangaza kesho yake.
Thank you.
Happy birthday kakaHabari zenu.
Wakuu siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alizaliwa kijana wenu shupavu kabisa YOUNGBLOOD.
Namshukuru sana mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo,lakini pia nawatakia kheri ya siku ya kuzaliwa wale wote waliozaliwa siku kama ya leo.
Nawapenda sana wanaJF, tuendelee kupendana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]No, unajua Birthday zao zimeangukia siku moja, sasa ili angalau na yeye ajitahidi tahidi inabidi aweke mbwembwe kidogo.
Mfano kama ni mimi ningeisogeza mbele tu, maana sitaki mambo ya kufunikwa funikwa mimi.
Older than yesterday younger tomorrow happy birthday YoungbloodHabari zenu.