Happy birthday to me

Happy birthday to me

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,666
Reaction score
12,178
Asante Mungu, asante mama peter na wengine wengi wenye mchango maishani mwangu, kipekee niseme huu pia ulikuwa mwaka wangu kama uliopita, maana mambo matatu niliyopanga niliyatimiza mwezi wa tatu tu nikapanga lingine nalo kabla ya siku hii limetimia, kwangu ni mwaka mzuri na utabaki ktk kumbukumbu zangu daima, naomba 2017. nikijaliwe uwe mzuri kuzidi huu, nanyi pia nawaombea mkamilishe mliyonuia mwanzo yasiishie kati.
Ahsante JF,
Ahsante Mungu.
 
Happy Birthday mtani! Naona siku yako ya kuzaliwa na King kiba zimekaribiana kama jicho na pua.. Hahahah kweli nyinyi damu damu..

Nikutakie maisha marefu na yenye mafanikio zaidi Mkuu..
 
BIRTHDAY YA MWAKANI MSHUKURU NA "BABA PETER"
 
Happy Birthday mtani! Naona siku yako ya kuzaliwa na King kiba zimekaribiana kama jicho na pua.. Hahahah kweli nyinyi damu damu..

Nikutakie maisha marefu na yenye mafanikio zaidi Mkuu..
Ahsante mtani
 
Happy birthday to you*2, happy birthday peter choka happy birthday to you.
 
Happy birthday my dear,Mungu akutimizie hitaji la moyo wako.
2017 na uwe wa neema kwako.
 
happy birthday peter Mungu akupe kila hitaji la moyo wako
 
Back
Top Bottom