Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
Asante Mungu, asante mama peter na wengine wengi wenye mchango maishani mwangu, kipekee niseme huu pia ulikuwa mwaka wangu kama uliopita, maana mambo matatu niliyopanga niliyatimiza mwezi wa tatu tu nikapanga lingine nalo kabla ya siku hii limetimia, kwangu ni mwaka mzuri na utabaki ktk kumbukumbu zangu daima, naomba 2017. nikijaliwe uwe mzuri kuzidi huu, nanyi pia nawaombea mkamilishe mliyonuia mwanzo yasiishie kati.
Ahsante JF,
Ahsante Mungu.
Ahsante JF,
Ahsante Mungu.