Braza nisaidie kumuelewesha basHafu kajibebisha mwenyewe ujue wala usiulaumu sana
Hapana tatizo unakujaga mbio huchunguzi viziri.Huwezi kuona kwasababu unabariki nduguyo awe na nyumba ndogo
Hukafanya kitu mimi nilikwepo mzigua analake tu kutia watu pureshaBraza nisaidie kumuelewesha bas
Maana
[emoji33]
Asanteh sana jamaniTunakuombea dear [emoji3][emoji3]
Nafurahi kukuona.Nipo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hafu kajibebisha mwenyewe ujue wala usiulaumu sana
Hapo ndo nakupendaga japo unajazaba lakini umskivu na muelewa pia you are my shem[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eti eehHapa huyo ni mcheshi kupitiliza hafu ukifatilia utaona si yeyw kuna waliopendekeza tu
Itakuwa sawa labda kama nina moyo wa chumaHapana tatizo unakujaga mbio huchunguzi viziri.
Mdogo wangu ni kipusa hivyo anawindwa hivyo kaza moyo kwa vitu vidogo kama hivi vipuuze tu
Hivi unazani angekataa mwenzio angejisikiaje lakini fikilia zaidi na hekema alizonazo dogo unazijua najua ushanielewa hapa sina zadiEti eeh
Sio kwa utetezi huo aiseeh.
Kwahiyo unataka kuniambia kila pendekezo lazima lipitishwe na kuwa sheria?
Wale waliopendekeza walipaswa wafanye vile kwasababu walimuona kijana mate yamemtoka, hawana makosa kabisa.
Sio kwa upuuzi huu wa kila sikuNafurahi kukuona.
Nakujua unahekma na unajua sie wakiume tulivyo hivyo sina shaka na ndoa yako.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uyo usimpikie mwezi mzma adhabu yake...... Anaanzaje kumkaribisha jini mkata kamba nyumban
BabyAsanteh sana jamani
Unanyama kama nyingine ila ujue hewala si utumwaItakuwa sawa labda kama nina moyo wa chuma
Kama ulivyoshindwa kumkataa shetani mbele ya hadhira na mimi siwezi kuukubali msamaha wakoBaby
I am sorry
But baby i said i was wrong!!Kama ulivyoshindwa kumkataa shetani mbele ya hadhira na mimi siwezi kuukubali msamaha wako