Happy birthday to me

Happy birthday to me

Ilikua tarehe 14/4 mwaka........ Siku ambayo mama yangu kipenzi kwa uwezo wake mwenyezi mungu alinileta duniani...... Namshukuru mungu nimekua na mpk sasa nakaribia kuitwa mama japo changamoto ni nyingi ila kwa baraka na heri zake muumba wa mbingu na ardhi bado nasimama...... Ahsante mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine tena [HASHTAG]#HAPPY[/HASHTAG] BIRTHDAY TO ME#[emoji257] [emoji322] [emoji322] [emoji322]
Happy birthday to you baby girl, Mungu akupe umri mrefu, akuepushe na maradhi ukatende mema siku zote. Akuongezee hekima na maarifa kila siku.

La muhimu kuliko lolote akupe moyo wa huruma usije niharibia ndoa yangu, maana nimemuona mume wangu leo kawa single kwasababu yako.

Happy birthday mamii
 
Worry out mamy..... Mwenyezi mungu atamuondolea mumeo wazo la kishetani la kutaka kuharibu ndoa yake mwenyew.... Kamwe sitokuharibia kipenzi... Barikiwa sana na amani ya moyo itawale
 
Back
Top Bottom