Happy birthday to me

Happy birthday to you baby girl, Mungu akupe umri mrefu, akuepushe na maradhi ukatende mema siku zote. Akuongezee hekima na maarifa kila siku.

La muhimu kuliko lolote akupe moyo wa huruma usije niharibia ndoa yangu, maana nimemuona mume wangu leo kawa single kwasababu yako.

Happy birthday mamii
 
Worry out mamy..... Mwenyezi mungu atamuondolea mumeo wazo la kishetani la kutaka kuharibu ndoa yake mwenyew.... Kamwe sitokuharibia kipenzi... Barikiwa sana na amani ya moyo itawale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…